Leo Tolstoy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ilya Efimovich Repin (1844-1930) - Portrait of Leo Tolstoy (1887).jpg|thumb|right|Leo Tolstoy alivyochorwa na Ilya Efimovich Repin (1844-1930) mwaka [[1887]].]]
 
'''Lev Nikolayevich Tolstoy''' ([[Kirusi]] '''Лев Николаевич Толстой'''; [[9 Septemba]] [[1828]]-[[20 Novemba]] [[1910]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Urusi]]. Huhesabiwa kati ya wanariwaya wakubwabora wa [[fasihi]] ya dunia naduniani. katiKati ya masimulizi yake makuu nikuna ''[[Vita na Amani]]'' pamoja na ''[[Anna Karenina]]''.
 
== Familia na urithi ==
Tolstoy alizaliwa katika [[familia]] ya [[makabaila]] kwenye [[kijiji]] cha [[Yasnaya Polyana]] karibu na mji [[Tula]]. Familia yake ilikuwa na uhusiano wa kindugu na makabaila wengi na [[Aleksander Pushkin]] alikuwa binamu yake.
 
Mapema Tolstoy alikuwaalibaki [[yatima]] baadakutokana yana kifo cha wazazi wake, akalelewa na dada yake mkubwa.

Alianza kusoma [[lugha]] za Kiasia halafu [[sheria]] lakini alipofikia umri wa miaka 20 aliacha masomo akaenda kuishi kwenye mashamba ya familia yake. Hapo alijikuta kama bwana wa familia za wakulima maskini aliokuwa aliwarithi kama sehemu ya mali yake, wakiwa kama nusu watumwa jinsi iliovyokuwailivyokuwa kawaida kwa wakulima wengi wa Urusi wa siku zile, kumbe akajitahidi kuboresha maisha yao..
 
== Mwanajeshi, mpenda amani, mla mboga ==
Kama [[mwanajeshi]] alishiriki katika [[vita]] zavya Urusi kwenye [[Kaukazi]] na [[vita ya Krimea]]. Alirudi kwake kama adui wa vita akaendelea kulaumu vita na mabavu kati ya watu akijenga [[imani]] yake kwenye mfano wa [[Yesu MkristoKristo]].

Imani hiihiyo ilileta baadaye ugomvi na kanisa[[Kanisa]] rasmi la Urusi ([[Waorthodoksi]]) lililotumia imani ya Kikristo kwa kubariki [[jeshi]] la taifa wakati Tolstoy alikataa kushiriki vitanivita tena.

Aliendelea kukataa kila aina ya kuua, kwa hiyo alikataa kuchinja [[wanyama]] na kula nyama. Aliandika:
::Kula nyama ni mabaki ya unyama ndani ya binadamu. Ulaji mboga ni hatua ya kwanza kwenye njia ya mwangaza.
::Ni hatua moja tu kutoka uuaji wa wanyama kwenda uuaji wa wanadamu[[binadamu]], vilevile kutoka kutesa wanyama kwenda kutesa watu.
::Kama huwezi kuua watu - vizuri! Kama huwezi kuua mifugo au ndege - bora; wala samaki wala wadudu - bora tena! Ujitahidi kusogea mbele usipoteze muda kutafakari ni nini inayowezekana au haiwezekani. Fanya unachoweza.
 
== Ndoa na kazi ya fasihi ==
Mwaka [[1862]] alimwoa Sofia Andreevna Bers akazaa naye watoto 13.

Kutokana na vitabu vyake juu ya vita ya [[Krimea]] alikuwa maarufu nchini Urusi na riwaya za kubwa zilizoafatazilizofuata zilijenga sifa zake za kimataifa.
 
Pamoja na riwaya aliandika pia maandikojuu ya kidini[[dini]]. Kitabu "Ufalme wa Mungu umo ndani yenu" kiliathiri watu wengi pamoja na [[Mahatma Gandhi]] na [[Martin Luther King]].
 
Mwaka [[1910]] aliuaalikufa kutokana na [[kifua kikuu]] akiwa na umri wa miaka 82.
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1828]]
[[Jamii:Waliofariki 1910]]
[[Jamii:Waandishi wa Urusi|Tolstoy, Leo]]
[[Jamii:Tula Oblast]]