Sayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 46:
 
==Sura ya Kisayansi==
[[Image:Glowing tobacco plant.jpg|thumb|250px|right|Sayansi siku zote hutafuta kuongeza uelewa na , kadri inavyowezekana, uwezekano wa kumudu vipengele maalum vya [[Asili|Ulimwengu wa maumbile]]. Mafanikio yake katika kufikia hapa, hutoka katika shina la moja kwa moja tokea uwezo wake kuweka wazi misingi ya makanika ambayo hali asilia huchakata. Hapa, picha ya [[Mwako wa Bayokibayo]] ''Bosheni'' ambao umekachiwa katika zao la tumbaku kwa kutumia [[Uhandisi ginetiki]].]]
 
 
Mstari 53:
 
==Historia==
 
===Sura ya Kiutamaduni===
 
Sayansi iliaanza kama udadisi wa mtu mmoja mmoja; lakini kadri maarifa yanavyopanuka, inakuwa vigumu kwa mtu mmoja kufanya mchango wakujitenga. hivyo jumuiya zimebeba kusudi ambalo hapo mwanzo ilionekana kama ni shauku la mtu mmoja mmoja kama awali.
 
Hii hufanya mkururo wa ugunduzi ama uvumbuzi kuwa ni sehemu ya historia ya Sayansi. Majina na sifa kutajwa sambamba na shauri la aliyepelekea.
 
Sayansi na Jamii huenda pamoja katika kuleta mabadiliko, kwa kuwa mabadiliko huletwa na watu wenyewe.
 
===Sayansi Na Siasa Za dunia===
 
Katika dunia hii ya leo, maendeleo ya watu hujidhihirisha sana kutokana na jinsi jamii husika ilivyopiga teke katika uwanja huu.
 
Ingawaje haibanishwi wazi miongoni mwa sura ya mambo ya kidunia, sayansi kwa kweli ni nguvu inayoweza kubadili maisha ya watu kwa wema; lakini katika kilele chake cha mafanikio, vyombo vyenye nguvu kimamlaka na fedha hushikilia baadhi ya matunda yake katika hali ya kibiashara na kiutawala zaidi.
 
===Sayansi Na Maendeleo===
 
Wapo watu pia ambao hutumia sayansi kujaribu kuboresha maisha ya watu wote kwa ujumla. Hivyo sayansi haibakii tu kuwa mikononi mwa wenye kushika dau kimifumo, bali changamoto ya wote wenye kutaka kuleta maendeleo ya ujumla.
 
Na hivyo roho ya uchunguzi ndio iliyoleta kiukuzaliwa, yakukua na kutapakaa kwa sayansi.