Kitabu cha Wafu cha Tibeti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Kitabu cha Wafu cha Tibeti''' Ni kitabu chenye utenzi wa maneno yasemwayo kwa mtu aliye kufa mara kabla ya kufa na Baada.
 
dNo edit summary
Mstari 2:
 
Ni kitabu chenye utenzi wa maneno yasemwayo kwa mtu aliye kufa mara kabla ya kufa na Baada.
 
Huitwa [[Bardo Thodol]] kutoka neno ''Bardo'' lenye maana 'hali ya mpito' ama 'hali ya kati' na hata pia 'kuwa katikati ya'. Na ''Thodol'' yaani kuwekwa huru kwa kusikiza.
 
==Asili==
 
Ni desturi ya kimapokeo ya watu wa Tibeti katika shughuli zahusiano na mtu kukata roho. Bardo Thodol husomwa kwa namna ya kuimba na ma[[lamas]] kuelekezwa kwa anayekufa, aliyekufa ama mtu wa ukaribu wa marehemu. Hii imetokana na ushawawishi wa Ma[[sanusi]] na Watawa wa Kibuddha wa Tibeti walio amka kiroho.
 
==Mafundisho ya Kiroho==
 
Bardo Thodol inatofautisha hali ya kati kati ya maisha mawili kwa namna bardo tatu (na zenyewe zikizidi kugawanywa zaidi):
 
'''chikhai bardo''' au "bardo ya wakati wa mauti"
'''chonyid bardo''' au "bardo ya kuishi/pitia katika uhalisi"
'''sidpa bardo''' au "bardo ya kuzaliwa tena".
 
 
Chikhai bardo ina mambo juu ya upitio wa ''Nuru nyeupe ya uhalisi'', aghalabu ya karibu kabisa ambayo mtu anaweza kuona kiroho.
 
Choyid bardo ina mambo juu ya upitio wa maona ya ma[[buddha]] katika hali mbali mbali (au, tena, kwa kiasi cha karibu mtu awezavyo kuona).
 
The sidpa bardo ina mambo juu ya maruwe ruwe yanatokana na [[Karma]] ambayo kuelekea kumlazimu mtu azaliwe tena.
 
 
==Tazama Pia==
==Viungo vya nje==