Vita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: hy:Պատերազմ
d The file Image:Exercise_Desert_Rock.jpg has been replaced by Image:Exercise_Desert_Rock_I_(Buster-Jangle_Dog)_001.jpg by administrator commons:User:ZooFari: ''File renamed: more descriptive name''. ''[
Mstari 12:
 
Asili ya vita ilikuwa mapambano kwa silaha kati ya makabila au vijiji mbalimbali. Baada ya kutokea kwa [[madola]] ilikuwa zaidi serikali au watawala wa madola walioamua juu ya vita.
[[Picha:Exercise Desert RockExercise_Desert_Rock_I_(Buster-Jangle_Dog)_001.jpg|thumb|300px|Mlipuko wa silaha ya nyuklia 1951]]
== Watekelezaji wa vita ==
Watekelezaji wa vita huitwa askari au wanajeshi. Historia imejua vipindi ambako wanaume wote wa nchi fulani walitakiwa kushika silaha na kushiriki katika mapigano. Palikuwa pia na vipindi na utamaduni ambako wapiganaji walikuwa watu wa pekee wenye jukumu hii ama kwa sababu walipaswa kuwa askari kufuatana na sheria za nchi au kwa sababu walikodiwa kwa kazi hii.