Paul Simon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Paul Simon''' ni mwanamuziki wa country, anaimba na kupiga gitaa amewahi kushirikiana na wanamuziki wengi moja ya makundi hayo ni [[Ladysmith Black MabanzoMambazo]]. Nyimbo alizowahi kuimba ni; Homeless; Mother and child reunion na Diamond in the sole of her shoeshoes.
 
Paul Simon alizaliwa Oktoba 13 1941 katika mji wa Newark Height, New jersey huko alifahamika kama muimbaji na mtunzi mwenye asili ya kiyahudi aliwahi kufunga ndoa mara tatu ana watoto wanne mmoja wapo ni mpigaji gitaa kama baba yake.