Mkoa wa Morogoro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 39:
}}
 
'''Morogoro''' ni jina la [[mji]], [[wilaya]] na [[mkoa]] wa [[Tanzania]].
 
'''Mkoa wa Morogoro''' ni kati ya mikoa 26 ya Tanzania. Umepakana na mikoa ya [[Mkoa wa Tanga|Tanga]], [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], [[Mkoa wa Lindi|Lindi]], [[Mkoa wa Ruvuma|Ruvuma]], [[Mkoa wa Iringa|Iringa]], [[Mkoa wa Dodoma|Dodoma]] na [[Mkoa wa Arusha|Arusha]]. Eneo lake ni 72 939 km², ambapo kuna wakazi 1,759,809 (mwaka [[2002]]). Morogoro ni kati ya mikoa mikubwa zaidi ya Tanzania.
Ikiwa eneo lake ni 72 939 km² kuna wakazi 1,759,809 (mwaka 2002). Morogoro iko kati ya mikoa mikubwa zaidi ya Tanzania.
 
===Utawala===
Mkoa una wilaya sita ndizo (idadi ya wakazi kwa mabano):
[[Wilaya ya Kilosa|Kilosa]] ( 489,513), [[Wilaya ya Kilombero|Kilombero]] (322,779), [[Morogoro Vijijini]] (263,920), [[Morogoro Mjini]] (228,863), [[Mvomero (wilaya)|Mvomero]] (260,525), [[Ulanga]] (194,209). Mwaka [[2010]] imeongezwa wilaya mpya ya Gairo.

Wakazi walio wengi hukalia wilaya za kaskazini mkoani. Robo yao huishi katika miji ya mkoa.
 
{{Wilaya za Mkoa wa Morogoro}}
 
===Eneo===
Eneo la Mkoa wa Morogoro liko katikati ya mikoa ya [[pwani]] laya [[Bahari Hindi]] na [[Nyanda za Juu. Kuna tambarare za chini kama vile Ifakara / Kilombero pia milima ya juu kama [[Uluguru]] penye mlima wa Kimhandu mwenye 2646 m juu ya [[UB]].
 
MitoKuna mikubwa[[tambarare]] niza Wamichini nakama vile [[RuvuIfakara]] inayoanza/ kwenye[[Kilombero]], pia milima ya Uluguru.juu Ruvukama ndiyo[[Uluguru]] mtopenye mlima wa kutoaKimhandu wenye 2646 m majijuu ya [[DaressalaamUB]].
 
Mito mikubwa ni [[Wami]] na [[Ruvu]] inayoanza kwenye milima ya Uluguru. Ruvu ndiyo mto wa kutoa maji ya [[Daressalaam]].
Karibu nusu ya eneo la Mkoa wa Morogoro ni hifadhi za wanyama za [[Mikumi]], [[Udzungwa]] na [[Selous]].
 
Karibu nusu ya eneo la Mkoa wa Morogoro ni hifadhi za wanyama za [[Mikumi]], na [[Udzungwa]] na sehemu ya eneo la kuwinda wanyama la [[Selous]].
 
===Wakazi===
[[Kabila]] kubwa ni la [[Waluguru]] waliotoa jina kwa mji wa Morogoro pamoja na milima ya Uluguru.

Makabila mengine makubwa zaidi ni [[Wangulu]], [[Wakagulu]], [[Wasagala]], [[Wapogolo]], [[Wandamba]] na Wapogolo[[Wavidunda]].
 
===Mawasiliano===
[[Barabara Kuu]] za lami za [[Daressalaam]] - Morogoro - [[Mbeya]] - [[Zambia]]/[[Malawi]] na Daressalaam - Morogoro - [[Dodoma]] hupita eneo la mkoa pamoja na [[reli ya kati]] Daresalaam - Morogoro - Dodoma - [[Kigoma]] / [[Mwanza]]. Reli ya [[TAZARA]] hupita wilaya ya Kilombero.
 
===Uchumi===
[[Kilimo]] kinategemea hali ya [[mvua]]. Kilombero kuna mashamba makubwa ya miwa. Mazao ya sokoni hulimwa milimani. KatibuKaribu nusu ya eneo la mashamba yote hulimwa [[mahindi]].