Ngwini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: ur:پینگوئن
dNo edit summary
Mstari 17:
''[[Spheniscus]]'' <small>[[Mathurin Jacques Brisson|Brisson]], 1760</small>
}}
'''Ngwini''' au '''Pengwini''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa bahari katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Spheniscidae]]. Ndege hawa hawawezi kuruka angani lakini chini ya maji huenda kama “kupuruka”“kuruka”. Kwa kweli, wanaishi baharini nusu ya mwaka na wanarudi nchi kavu ili kuzaa tu. Kwa kawaida ngwini ni weupe kwa kidari na tumbo na weusi kwa mgongo (aina ya [[kamafleji]]). Huwakamata [[uduvi|nduvi]] ([[w:krill|krill]]), [[samaki]], [[ngisi]] na wanyama wengine wadogo wa bahari. Hata kama kwa kawaida ngwini huhusishwa na [[barafu]] ya [[Antakitiki]], spishi nyingi huyataga mayai yao kwa pwani za visiwa zenye miamba au ndani ya mashimo ambayo ngwini wameyachimba. Jike huyataga [[yai|mayai]] mawili, lakini yule wa spishi za ''Aptenodytes'' hulitaga moja tu. Jike na dume huatamia mayai kwa zamu, lakini kwa kawaida kinda moja hutoka tu au kinda moja analishwa tu. ''Aptenodytes forsteri'' ([[w:Emperor Penguin|Emperor Penguin]]) huzaa mbali na bahari juu ya barafu ya [[Bara la Antakitiki]]. Dume hutamia yai wakati jike anapotafuta chakula cha kumpa kinda.
 
== Spishi za Afrika ==