Majivuno : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Majivuno''' ni tabia ya mtu kujipongeza mno kutokana na sifa alizonazo. Yanatokana na kiburi na kufikia hatua ya majigambo ya uongo ambayo ni c...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Trophime Bigot Allegory Vanity.jpg|thumb|right|200px|Majivuno yalivyochorwa na [[Trophime Bigot]], ''Alegoria Vanitas''.]]
'''Majivuno''' ni [[tabia]] ya mtu kujipongeza mno kutokana na sifa alizonazo.
Katika [[maadili]] ni kimojawapo kati ya [[vilema vikuu]] (au [[vichwa vya dhambi]]) vinavyozaa [[dhambi]] nyingine nyingi.
Jina la [[Kilatini]] (''vanitas'' au ''vanagloria'') linahusisha tabia hiyo na [[ubatili]].
{{mbegu}}
|