Kiazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Matini mapya
Ongezeko
Mstari 1:
[[Picha:Sweet potatoes.JPG|thumb|Viazi vitamu]]
'''Kiazi''' ni sehemu ya [[mzizi]] wa [[mmea]] ambayo imekua nene na inahifadhi [[chakula]] cha mmea. Mifano ni [[kiazi kitamu]], [[kiazi kikuu]], [[kiazi cha kizungu]], [[jimbi]] na [[karoti]]. Kiazi isichanganyikiwe na [[tunguu (mmea)|tunguu]] ambalo ni sehemu ya [[shina]].
 
[[Jamii:Mimea]]