Einigkeit und Recht und Freiheit : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Einigkeit und Recht und Freiheit''' ("Umoja na haki na uhuru") ni maneno ya kwanza ya wimbo la taifa la Ujerumani. Wimbo hili lilitungwa kiasili na mshairi ...'
 
No edit summary
Mstari 2:
 
Beti asilia ya kwanza inajulikana kutokana na chanzo chake "Ujerumani juu ya yote" (''Deutschland, Deutschland über alles'') lakini baada ya maarifa ya utaifa mkali katika karne ya 20 uliopeleka nchi katika vita kuu mbili Wajerumani wengi hawapendi tena beti hii hivyo haitumiki tena.
[[Picha:Wajerumani karne ya 19.jpg|thumb|200px300px|Maeneo yaliyokaliwa na Wajerumani wakati wa karne ya 19]]
==Historia==
Joseph Haydn alitunga muziki hii kwa heshima ya [[Kaisari]] [[Franz I wa Austria|Franz]] wa [[Austria]] na [[Dola Takatifu la Kiroma]] likawa wimbo la taifa la Austria hadi mwisho wa ufalme mwaka 1918.