96,347
edits
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|300px|Sehemu inayohusu ulafi katika mchoro wa [[Hieronymus Bosch kuhusu vilema vikuu saba na vikomo vinne vya...') |
No edit summary |
||
[[File:Hieronymus Bosch 094.jpg|thumb|
{{Vilema vikuu}}
'''Ulafi''' (pamoja na '''ulevi''') ni [[hamu]] isiyoratibiwa ya kula (na kunywa).
Inakadiriwa kuwa siku hizi mtu 1 kati ya 3 anakula kuliko [[mwili]] wake unavyohitaji, na hivyo anasababisha [[maradhi]] mbalimbali yampate.
Upande wa [[maadili]] unahesabiwa kuwa kimojawapo kati ya [[kilema|vilema]] vikuu, ambavyo ni [[mizizi ya dhambi]] nyingine.
{{mbegu}}
[[Jamii:Afya]]
|