Thabo Mbeki : Tofauti kati ya masahihisho

115 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
Mbeki, rais hadi 2008
No edit summary
(Mbeki, rais hadi 2008)
[[Picha:ThaboMbeki.jpg|thumb|right|Thabo Mbeki]]
 
'''Thabo Mvuyelwa Mbeki''' (amezaliwa [[18 Juni]], [[1942]]) nialikuwa [[Rais]] wa nchi ya [[Afrika Kusini]] tangu [[14 Juni]], [[1999]] hadi [[24 Septemba]], [[2008]]. Alimfuata [[Nelson Mandela]].
 
Mbeki alilelewa katika familia ya [[Waxhosa]] katika jimbo la [[Rasi Mashariki]]. Wazazi walikuwa walimu wa shule na wanachama wa [[ANC]].
Baada ya uchaguzi huru wa kwanza nchini Afrika Kusini mwaka 1994 alikuwa makamu wa rais chini ya Nelson Mandela. Mwaka 1997 akawa mwenyekiti wa ANC badala ya Mandela. 16 Juni 1999 akaapishwa kama rais wa Afrika Kusini akarudishwa katika uchagizi wa Aprili 2004.
 
Katika Desemba 2007 Mbeki aligombea tena nafasi ya mwenyekiti wa ANC lakini alishindwa na [[Jacob Zuma]]. Zuma pia alimfuata Mbeki kama Rais wa Afrika Kusini baada ya uchaguzi wa 2009.
 
 
62,394

edits