Edward Sokoine : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: it:Edward Sokoine
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Edward_Sokoine.jpg|thumb|right|Edward Moringe Sokoine]]
'''Edward Moringe Sokoine''' ([[1938]] - [[12 Aprili]], [[1984]]) alikuwa [[mwanasiasa]] kutoka nchi ya [[Tanzania]]. Alikuwa [[Waziri Mkuu]] mara mbili, [[13 Februari]], [[1977]] hadi [[7 Novemba]], [[1980]], na tena [[24 Februari]], [[1983]] hadi kifo chake alipofariki kufuatana na ajali ya gari.
 
Aliwahi kuwa [[Waziri Mkuu]] mara mbili, tangu tarehe [[13 Februari]] [[1977]] hadi [[7 Novemba]] [[1980]], tena tangu tarehe [[24 Februari]] [[1983]] hadi [[kifo]] chake, alipofariki kufuatana na [[ajali]] ya gari.
Uongozi wa Sokoine ulionekana kuwa wa mfano kwa jinsi alivyokuwa na adili na kufuatilia utendaji kazi huku akikemea ulaji rushwa na ubadhilifu wa mali za umma.
 
Uongozi wa Sokoinewake ulionekana kuwa wa mfano kwa jinsi alivyokuwa na adili[[uadilifu]] na kufuatilia utendaji kazi huku akikemea ulaji [[rushwa]] na ubadhilifu[[ubadhirifu]] wa [[mali za umma]].
Sokoine aifariki kwa ajali ya gari wakati akitoka kwenye kikao cha bunge Dodoma kuelekea Dar es salaam. Kifo chake kilileta majonzi makubwa kwa Watanzania wa kawaida ambao walikuwa wanamtarajia Sokoine kuwatetea wanyonge na kuinua kiwango chao cha maisha. Mwili wa Edward Moringe Sokoine ulizikwa nyumbani kwao [[Monduli]], mkoani [[Mkoa wa Arusha|Arusha]].
 
Sokoine alifariki kwa ajali ya gari wakati akitoka kwenye kikao cha [[bunge]] [[Dodoma]] kuelekea [[Dar es Salaam]]. Wengi wanashuku ajali hiyo kuwa ilipangwa.
 
Kifo chake kilileta majonzi makubwa kwa Watanzania wa kawaida ambao walikuwa wanamtarajia kuwatetea wanyonge na kuinua hali ya maisha yao.
 
[[Mwili]] wa Edward Moringe Sokoine ulizikwa nyumbani kwao [[Monduli]], mkoani [[Mkoa wa Arusha|Arusha]].
 
[[Chuo cha Kilimo na Mifugo Morogoro]] kilipewa jina la "Chuo cha Kilimo cha Sokoine" ambacho kwa sasa ni [[Chuo Kikuu cha Sokoine]].
Line 18 ⟶ 24:
[[Jamii:Waliofariki 1984]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Wafransisko]]
 
[[de:Edward Moringe Sokoine]]