Papa Yohane XXIII : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:John23leo.jpg|thumb|right|Papa Yohane XXIII]]
 
'''Papa Yohane XXIII''' ([[25 Novemba]], [[1881]] – [[3 Juni]], [[1963]]) alikuwa [[Papa]] kuanzia [[28 Oktoba]], [[1958]] hadi kifo chake. Alimfuata [[Papa Pius XII]] na kufuatwaakafuatwa na [[Papa Paulo VI]].
 
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '''Angelo Giuseppe Roncalli'''. Watu walipenda kumuita "Papa mwema".
 
[[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza [[mwenye heri]] tarehe [[3 Septemba]] [[2000]].
Papa huyu aliitisha [[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] uliounganisha ma[[askofu]] wote wa [[Kanisa Katoliki]] na kuleta matengenezo mbalimbali ndani ya kanisa hilo.
 
Umuhimu wa Papa huyu ni kwamba aliitisha [[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] uliounganisha([[1962]]-[[1965]]) ambao ulikutanisha ma[[askofu]] wote wa [[Kanisa Katoliki]] na kuleta matengenezo mbalimbali ndani ya [[kanisa]] hilo.
== Links ==
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.documentacatholicaomnia.eu/01_01_1958-1963-_Ioannes_XXIII,_Beatus.html Maandishi yake yote katika lugha mbalimbali]
 
{{mbegu-Papa}}
 
{{DEFAULTSORT:Yohane XXIII}}
[[Jamii:Papa]]
[[Jamii:Wafransisko]]
[[Jamii:Watu wa Italia]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1881]]
[[Jamii:Waliofariki 1963]]
[[Jamii:Papa]]
[[Jamii:Wafransisko]]
[[Jamii:WatuWenye heri wa Italia]]
 
{{Link FA|fi}}