Paul Ereng : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kuondoa herufi kubwa na kuweka ndogo, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB
d tarehe
Mstari 2:
== Historia ==
===Maisha ya hapo awali===
'''Paul Ereng''' (alizaliwa [[22 Agosti]], [[1966]]) ni mwanamichezo wa zamani wa [[Kenya]] na mshindi wa mbio ya 800m katika [[Olimpiki]] ya 1988 huku akiwashangaza watu.
 
Alizaliwa [[Kitale]](katika [[Wilaya ya Trans-Nzoia]]) nchini [[Kenya]], Paul Ereng alisomea [[Shule ya Upili ya Starehe]] mjini [[Nairobi]]. Yeye alikuwa anaonekana kama alikuwa bora katika mbio ya 400m hadi mwisho wa mwaka wa 1988. Baada ya kujiandikisha katika [[Chuo Kikuu cha Virginia]], Ereng alianza kukimbia mbio ya 800m,hapo mwanzo wa 1988.