Sikio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: oc:Aurelha
d roboti Nyongeza: pnt:Ωτίν; cosmetic changes
Mstari 1:
[[Picha:Muundo wa sikio.jpg|thumb|300px|Muundo wa sikio]]
[[ImagePicha:Ear.jpg|thumb|200px|Picha ya sikio la nje]]
 
'''Masikio''' ni sehemu za mwili zinazotuwezesha kusikia [[sauti]]. Wanadamu na wanyama [[mamalia]] wana masikio mawili kichwani. Wanyama wengine husikia sauti kupitia viungo vingine kama vile buibui kupitia nywele za miguu au samaki kupitia neva ndefu iliyopo chini ya ngozi kando ya mwili.
Mstari 12:
Sehemu ya kiwambo cha sikio pamoja na chumba nyuma yake penye mifupa sikivu huitwa sikio la kati. Nyuma yake kuna sehemu ya sikio la ndani. Kiungo cha mwili kinachobadilisha mwendo wa mishipa sikivu kuwa alama za neva huitwa [[komboli]].
 
== Kazi nyingine za masikio ==
Pamoja na kupokea sauti sikio la ndani lina pia kazi ya kutunza uwiano wa mwili likiweza kutofautisha kati ya juu, chini, kulia na kushoto.
 
Wanyama mbalimbali hutumia masikio pia kwa kupoza mwili. Tembo anatumia masikio yake kama fan.
 
== Matatizo na magonjwa ya sikio ==
Sehemu zote tatu za sikio zinaweza kuathiriwa na magaonjwa na maumivu.
* Sikio la nje huwa na ngozi laini inaweza kuumizwa na vidonda na kuambukizwa. Njia ya sauti inaumizwa kama watu wanajikuna ndani yake kwa kidole kichafu au kwa kutumia vijiti. Mara nyingi inajazwa hasa kutokana na nta ya mwilini inayokusanyika hapa na kuzuia sauti kupita vema. Daktari anaweza kusaidia hapa kwa kuondoa nta au uchafu mwingine uliokusanyika akitumia mpira mdogo na maji ya vuguvugu.
 
* Sikio la kati inapata matatizo yafuatayo: kiwambo cha sikio inaweza kuumizwa kwa mfano kwa kuingiza kitu ndani ya sikio, kutokana na mlio mkubwa mno kama mtu yuko karibu na mlipuko na pia kutokana na magonjwa. Magonjwa inayotokea mara yingi ni [[mchonyoto]] wa chumba cha mifupa sikivu kwa sababu bakteria zinaweza kupita kwenye neli ya koromeo na kuingia ndani; wakati wa magonjwa ya shingoni neli hii inaweza kuvimba na kufunga bakteria ndani ya sikio la kati ambako zinasababisha mchonyoto. Mchonyoto katika sehemu hii inaleta maumivu makali. Isipotibiwa ambukizo linaweza kuathiri hata kuharibu mifupa sikivu.
 
* Sikio la ndani huumia kama makelele yanazidi. Kuzidi kwa makele au pia kupokea mlio mkubwa wa mlipuko wa karibu inaweza kuharibu neva ndogo zinazobadilisha mwendo wa mishipa fahamu kuwa alama za neva. Sehemu hii inaweza kushambuliwa pia na aambukizi ya virusi mbalimbali.
Mstari 103:
[[pl:Ucho]]
[[pnb:کن]]
[[pnt:Ωτίν]]
[[ps:غوږ]]
[[pt:Orelha]]