Content deleted Content added
WITCH HUNT http://en.wikipedia.org/wiki/Baba_Yaga WITCH HUNT
Tengua pitio 583423 lililoandikwa na 79.191.245.9 (Majadiliano)
Mstari 1:
'''ILANI:''' Kwa muda kadhaa kuanzia sasa nitakuwa na kazi nyingi mno mpaka sitaweza kuingia hapa mara nyingi. Poleni na usumbufu! --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita|majadiliano]])''' 14:49, 15 Agosti 2010 (UTC)
BABA TABITA
 
http://en.wikipedia.org/wiki/Baba_Yaga
{{busy}}
BABA YAGA
 
{{boxboxtop|Baba Tabita}}
{{User BT-web}}
{{User Tarehe}}
{{user de-N}}
{{user en-4}}
{{user sw-3}}
{{user nl-1}}
{{user fr-1}}
{{user Mkabidhi}}
{{user Bureaucrat}}
{{User user-most-edit}}
{{boxboxbottom}}
 
Ingawa jina langu rasmi ni Oliver, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa '''Baba Tabita''' kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.
 
Nimetoka [[Ujerumani]] lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa [[isimu|kiisimu]], na lengo langu ni kukuza matumizi ya [[Orodha ya makabila ya Tanzania|lugha za Tanzania]]. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya [[Kiswahili]].
 
Tarehe 22 Juni 2010 nimefikisha michango [http://toolserver.org/~purodha/sample/dbswithuser.php?usr=Baba_Tabita&go=Go!&uselang=en 25,000].
 
Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia mwezi wa Februari 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako hakuna mtandao hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!
 
[[de:Benutzer:Baba Tabita]]
[[en:User:Baba Tabita]]
[[sv:Användare:Baba Tabita]]