Afyuni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: my:ဘိန်း
d The file Image:8651819_d63dee249d_o.jpg has been replaced by Image:Black_tar_(raw)_opium_seized_in_Afghanistan.jpg by administrator commons:User:ZooFari: ''File renamed: change from meaningless name''.
Mstari 1:
[[Picha:Field of opium.jpg|thumb||Shamba la mpopi chanzo cha afyuni]]
[[Picha:8651819 d63dee249d oBlack_tar_(raw)_opium_seized_in_Afghanistan.jpg|thumb||Afyuni bichi kutoka nchini Afghanistan]]
'''Afyuni''' ([[Kar.]] '''أفيون''') ni dawa asilia inayopatikana kutokana na utomvi uliokauka wa maua aina ya [[mpopi]] (Papaver somniferum - Kiing.opium poppy). Ndani yake kuna kemikali mbalimbali ambazo ni kati ya madawa makali kabisa yenye uwezo wa kutuliza maumivu lakini zinasababisha pia ulevi unaozoesha watu haraka na kuwafanya wasiweze kuacha ulevi huu.