Ponsyo Pilato : Tofauti kati ya masahihisho

364 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ponsyo Pilato''' (kwa Kilatini ''Pontius Pilatus''; kwa Kigiriki Πόντιος Πιλᾶτος; kwa Kiebrania פונטיוס פילאטוס; aliku...')
 
No edit summary
[[File:Eccehomo1.jpg|thumb|right|300px|''[[Ecce Homo]]'', mchoro wa [[Antonio Ciseri]] unaoonyesha Ponsyo Pilato alivyomtambulisha Yesu kwa watu wa [[Yerusalemu]] baada ya kumpiga mijeledi]]
'''Ponsyo Pilato''' (kwa [[Kilatini]] ''Pontius Pilatus''; kwa [[Kigiriki]] Πόντιος Πιλᾶτος; kwa [[Kiebrania]] פונטיוס פילאטוס; alikuwa [[liwali]] wa
[[Palestina]] katika miaka [[26]]-[[36]].
 
Anajulikana kutoka vyanzo mbalimbali, lakini hasa kwa sababu ya [[Injili]] kumtaja kama [[hakimu]] aliyempeleka [[Yesu]] kuuawa msalabani.
 
[[Kanisa la Ethiopia]] linafuata hadithi ya kwamba aliongoka, hivyo linamheshimu kama [[mtakatifu]].
 
Kadiri ya mapokeo mengine, alijiua.
 
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
 
[[af:Pontius Pilatus]]
Anonymous user