Wilaya ya Ludewa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wilaya ya Ludewa''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Iringa]]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 128,520 [http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/ludewa.htm].
 
Ludewa iko upande wa kaskazini-mashariki ya [[Ziwa Nyassa]]. Makao makuu ni mji wa [[Ludewa]]. Wilaya imepakana na wilaya za [[wilaya ya Njombe|Njombe]] na [[wilaya ya Makete|Makete]], upande wa mashariki na [[mkoa wa Ruvuma]] na upande wa kusini na nchi ya [[Malawi]] ng'ambo ya ziwa.
 
Wenyeji asilia wa Ludewa ni Wapangwa, Wakisi na Wamanda