Askofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo
kiungo
Mstari 6:
Neno letu "askofu" limetokana na Kiarabu "uskufu" ambalo ni umbo la Kiarabu la neno la Kigiriki "episkopos". Neno hili lilijulikana katika mazingira ya Wakristo wa kwanza likimtaja mwangalizi au msimamizi wa shughuli mbalimbali serikalini, katika shirika za wananchi au penye ujenzi.
 
Maandiko ya kalekwanza ya [[Agano Jipya]] yanayotumia neno hili ni nyaraka za [[Mtakatifu Paulo|Paulo]]. Anataja kazi hii katika [[Fil.]] 1,1. Lakini hakuna "episkopos" katika [[1Kor.]] 12,28 inayoorodhesha vyeo na kazi mbalimbali. Hii imechukuliwa na wataalamu wengi kama alama ya kwamba wakati wa Paulo "episkopos" bado hakuwepo katika shirika zote kama cheo cha kawaida.
 
[[1Tim.]] 3,1-7 na [[Tit.]] 1,7 zinataja "episkopos" lakini wengi huamini ya kwamba nyaraka hizi zimeandikwa baada ya Paulo. Katika [[Mdo.]] 20,28 wazee au viongozi wa ushirika wa Efeso waitwa "episkopoi" kwa jumla.