Askofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo
No edit summary
Mstari 10:
[[1Tim.]] 3,1-7 na [[Tit.]] 1,7 zinataja "episkopos" lakini wengi huamini ya kwamba nyaraka hizi zimeandikwa baada ya Paulo. Katika [[Mdo.]] 20,28 wazee au viongozi wa ushirika wa Efeso waitwa "episkopoi" kwa jumla.
 
Haya yote yanachukuliwa wa wataalamu wengi ya kuwa wakti wa shirika za kwanza zinavyoonekana katika Agano Jipya cheo cha "askofu" hakikuwepo bado kama cheo maalum. Lakini katika shirika kadhaa alipatikana tayari kiongozi aliyekuwa na cheo cha juu wa wazee.
 
===Episkopos kama cheo===
Neno episkopos laonekana kama cheo katika maandiko ya mapema ya karne ya pili kama vile [[waraka wa kwanza wa Klementi]]. Kuanzia sasa askofu aonekana kuwa kiongozi mkuu wa kanisa katika mji fulani.
 
Katika upanuzi wa Ukristo madaraka ya askofu yalipanua. Kadiri jinsi makanisa yalijengwa hata nje ya miji mashambani askofu aliendelea kuwa kiongozi wa eneo si mji tu.
 
==Makanisa ya Kiorthdoksi na Kanisa katoliki==
 
 
(laendelea)