Tofauti kati ya marekesbisho "Kwale (ndege)"

16 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
Nyongeza picha
d (roboti Nyongeza: ps:چنجری)
(Nyongeza picha)
}}
 
'''Kwale''' (pia '''kware''') ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Francolinus]]'' na ''[[Xenoperdix]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Phasianidae]]. [[Spishi]] nne za ''Francolinus'' ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa [[kereng'ende (ndege)|kereng'ende]] pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni [[mbegu]], [[mdudu|wadudu]] na [[nyungunyungu]]. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.
 
Karibu spishi zote zinatokea [[Afrika]] lakini spishi tano zinatokea [[Asia]].
* ''Francolinus levaillantii'', [[Kwale Mabawa-mekundu]] ([[w:Red-winged Francolin|Red-winged Francolin]])
* ''Francolinus levaillantoides'', [[Kwale wa Kulal]] ([[w:Orange River Francolin|Orange River Francolin]])
* ''Francolinus nahani'', [[Kwale wa Nahan]] ([[w:Nahan's Francolin|Nahan's Francolin]])
* ''Francolinus natalensis'', [[Kwale wa Natal]] ([[w:Natal Francolin|Natal Francolin]])
* ''Francolinus nobilis'', [[Kwale Mrembo]] ([[w:Handsome Francolin|Handsome Francolin]])
* ''Francolinus swainsonii'', [[Kereng'ende wa Swainson|Kereng'ende]] au [[Kwale wa Swainson]] ([[w:Swainson's Francolin|Swainson's Francolin]])
* ''Francolinus swierstrai'', [[Kwale wa Swierstra]] ([[w:Swierstra's Francolin|Swierstra's Francolin]])
* ''Xenoperdix udzungwensis'', [[Kwale wa Udzungwa]] ([[w:Udzungwa Partridge|Udzungwa Partridge]])
* ''Xenoperdix obscurata'', [[Kwale wa Rubeho]] ([[w:Rubeho Forest Partridge|Rubeho Forest Partridge]])
 
==Spishi za Asia==
==Picha==
<gallery>
FilePicha:Francolinus adspersus.jpg|Kwale domo-jekundu
ImagePicha:Francolinus afer1.jpg|Kwale shingo-nyekundu
ImagePicha:Cape francolin 02.jpg|Kwale kusi
FilePicha:Coqui francolin.jpg|Kwale miguu-njano
FilePicha:Erckel's Francolin.PNG|Kwale wa Erckel
FilePicha:HFfemale.gif|Kwale wa Hartlaub
FilePicha:Yellowneckedspurfowl250.JPG|Kwale shingo-njano
FilePicha:Francolinus natalensis -Pilanesberg National Park, South Africa-8.jpg|Kwale wa Natal
FilePicha:Grey francolin.jpg|Kwale wa Uhindi
FilePicha:Crested francolin.JPG|Kwale kishungi
FilePicha:Francolinus swainsonii -Kruger National Park-8.jpg|Kwale wa Swainson
FilePicha:Pternistis swainsonii IMG 5664 .JPG|Kwale wa Swainson
</gallery>
Image:Black Francolin.jpg|Black francolin
<gallery>
ImagePicha:Black Francolin.jpg|Black francolin
Picha:Painted Francolin CME1.jpg|Painted francolin
</gallery>
 
10,297

edits