Veronika Giuliani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|200px|Veronika Giuliani alivyochorwa akiwa na alama zake maalumu. '''Veronika Giuliani''' alizaliwa [[Mercatello sul Metauro...'
 
No edit summary
Mstari 7:
 
==Maisha==
'''Orsola Giuliani''' alijiungaanasimulia naalivyoanza kujaliwa [[Waklarakarama]] Wakapuchiniza napekee mwakaakiwa [[1716]]na akawa [[abesi]]umri wa monasterimiaka ya3 Città di Castellotu.
 
Alijiunga na [[Waklara]] Wakapuchini wa monasteri ya Città di Castello mwaka [[1667]] ambapo akawa [[abesi]] tangu mwaka [[1716]] hadi kifo chake.
Kwa agizo la [[padri]] aliyemuongoza kiroho, aliandika kirefu (kurasa 22,000 kwa mikono bila ya sahihisho lolote) kumbukumbu za maisha yake yote, ambazo zilitolewa baada ya kifo chake kwa jina ''Il Tesoro Nascosto'' (ni magombo 36).
 
Veronika Giuliani anahesabiwa kati ya [[Ukristo|Wakristo]] [[wanasala]] waliojaliwa mang'amuzi ya juu zaidi.
 
Kwa namna ya pekee aliambatana na [[Yesu]] msulubiwa kadiri ya [[karama]] ya [[Fransisko wa Asizi]].
 
==Maandishi==
==Heshima baada ya kufa==
Kwa agizo la [[padri]] aliyemuongoza kiroho, aliandika kirefu (kurasa 22,000 kwa mikono bila ya sahihisho lolote) kumbukumbu za maisha yake yote, ambazo zilitolewa baada ya kifo chake kwa jina ''Il Tesoro Nascosto'' (ni magombo 36).
Kanisa Katoliki linakubali ukweli wa [[madonda matakatifu]] aliyokuwanayo tangu tarehe [[5 Aprili]] [[1697]] hadi kifo chake.
 
Kutokana na shajara hiyo, Veronika Giuliani anahesabiwa kati ya [[Ukristo|Wakristo]] [[wanasala]] waliojaliwa mang'amuzi ya juu zaidi.
 
==Heshima baada ya kufa==
Ingawa aliheshimiwa mara baada ya kufa, [[kesi]] ya kumtangaza mtakatifu ilicheleweshwa na uchunguzi wa maandishi yake marefu.
 
[[Papa Pius VII]] alimtangaza [[mwenye heri]] mnamo Juni [[1804]], halafu [[Papa Gregori XVI]] alimtangaza mtakatifu tarehe [[26 Mei]] [[1839]].
 
Kanisa Katoliki linakubali ukweli wa [[madonda matakatifu]] aliyokuwanayo tangu tarehe [[5 Aprili]] [[1697]] hadi kifo chake.
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.americancatholic.org/Features/SaintOfDay/default.asp?id=1440 St. Veronica Giuliani] at AmericanCatholic.org Saint of the Day
*[http://www.stthomasirondequoit.com/SaintsAlive/id417.htm St. Veronica Giuliani] at Saints Alive
*[http://saints.sqpn.com/saintv08.htm Saint Veronica Giuliani] at Patron Saints Index
*[http://www.catholicapologetics.info/library/gallery/incorrupt.htm Incorrupt Bodies of the Saints] at Catholic Apologetics Information
 
[[Category:Waliozaliwa 1660]]
[[Category:Waliofariki 1727]]