Donatello : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: hy:Դոնատելլո
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Uffizi Donatello.jpg|thumb|Sanamu ya Donatello mjini Firenze]]
[[Picha:Donatello david plaster replica head and shoulders front right 1000px wide.jpg|thumb|Daudi, kichwa na mabega]]
'''Donato di Niccolò di Betto Bardi''' (*[[1386]] hadi [[13 Desemba]], [[1466]]) huitwa kwa kawaida '''Donatello''' (Donato mdogo) alikuwa [[msanii]] wa [[zama ya mwamko]] nchini Italia. Alikuwa mwenyeji wa mji wa [[FirenzeItalia]]. akawa mchongaji mashuhuri wa wakati wake.
 
Alikuwa mwenyeji wa mji wa [[Firenze]] akawa [[mchongaji]] mashuhuri wa wakati wake.
Donatello alizaliwa Firenza kama mtoto wa fundi wa kuchanua sufi Niccolò di Betto Bardi. Mnamo 1401 alianza kazi kama msaidizi wa mchongaji na fundi shahabu Lorenzo Ghiberti. Anasemekana alisafiri [[Roma]] na kutazama sanamu za Waroma wa Kale.
 
==Maisha==
Tangu 1407 alionekana kama fundi na mchongaji wa kujitegemea aliyepewa kazi ya kupamba makanisa na majumba ya matajiri. Alionyesha ya kwamba alijifunza mwengi kutoka sanaa ya Waroma wa Kale hivyo alikuwa kiongozi wa harakati ya mwamko wa sanaa ya kale katika Italia iliyoathiri sanaa kote Ulaya.
Donatello alizaliwa FirenzaFirenze kama mtoto wa fundi wa kuchanua sufi Niccolò di Betto Bardi. MnamoMwaka [[1401]] alianza kazi kama msaidizi wa mchongaji na fundi shahabu [[Lorenzo Ghiberti]]. AnasemekanaInasemekana alisafiri [[Roma]] na kutazama [[sanamu]] za [[Waroma wa Kale]].
 
Tangu [[1407]] alionekana kama fundi na mchongaji wa kujitegemea aliyepewa kazi ya kupamba makanisama[[kanisa]] na majumba ya matajiri. Alionyesha ya kwamba alijifunza mwengimengi kutoka [[sanaa]] ya Waroma wa Kale hivyo alikuwa kiongozi wa harakati ya mwamko wa sanaa ya kale katika Italia iliyoathiri sanaa kote [[Ulaya]].
Donatello alitumia ubao, mwamba na metali kwa kazi zake. Kati ya sanamu zake zilizokuwa mashuri sana ni [[Daudi (Biblia)|Daudi kama mchungaji kijana]] na [[Maria Magdalene]].
 
Donatello alitumia [[ubao]], [[marumaru]] na [[metali]] kwa kazi zake.
 
Donatello alitumia ubao, mwamba na metali kwa kazi zake. Kati ya sanamu zake zilizokuwa mashurimashuhuri sana ni [[Daudi (Biblia)|Daudi kama mchungaji kijana]] na [[Maria MagdaleneMagdalena]].
 
<gallery>
Image:Donatello david plaster replica front 1000px wide.jpg|Sanamu ya Daudi
Image:Zuccone Donatello OPA Florence.jpg|[[Nabii HabakukuHabakukI]]
Image:Gattamelata.jpg|Jenerali Gattamelata
Image:Stmark.jpg|[[Mtakatifu Marko]]
Image:Siena.Duomo.Donatello.JohnBaptist0.jpg|[[Yohane Mbatizaji]], kanisa[[Kanisa kuu]] la [[Siena]]
Image:Firenze.PalVecchio.Donatello.JPG|Judith[[Juditi]] na Holofernes (Palazzo Vecchio - FirenzaFirenze)
Image:Maria.Magdalena.jpg|Sanamu ya [[Maria MagdaleneMagdalena]] [[Firenze]]
image:Bild:Sangiovannievangelista.jpg|Mwinjilisti Yohane
</gallery>
 
Line 35 ⟶ 39:
[[Jamii:Waliozaliwa 1386]]
[[Jamii:Waliofariki 1466]]
[[Jamii:WasaniiWachongaji wa Italia]]
 
[[af:Donatello]]