Matsuo Bashō : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: rue:Мацуо Башо
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:MatsuoBasho.jpg|right|frame|Sanamu ya Basho mjini Ogaki]]
 
'''Matsuo Munefusa''' anayejulikana pia kama '''Matsuo Bashō''' ([[1644]] - [[28 Novemba]] [[1694]]) alikuwa mshairi nchini [[Japani]]. was a [[Japan]]ese [[poet]]. Husifiwa kama mshairi mashuhuri wa kipindi cha [[nasaba ya Edo]]. Amesifiwa hasa kwa ajili ya mashairi yake aina yanchini [[haikuJapani]] ambayo ni mashairi mafupi yenye silabi 5-7-5. Haiku zake zinaandikwa mara nyingi kwenye majengo au sanamu nchini Japani.
 
Husifiwa kama mshairi mashuhuri wa kipindi cha [[nasaba ya Edo]]. Amesifiwa hasa kwa ajili ya mashairi yake aina ya [[haiku]] ambayo ni mashairi mafupi yenye silabi 5-7-5. Haiku zake zinaandikwa mara nyingi kwenye majengo au sanamu nchini Japani.
 
==Maisha==
Alizaliwa Iga kwenye kisiwa kikuu cha [[Honshu]] upande wa magharibi wa [[Tokyo]] mnamo 1644 katika familia ya makabaila wadogo wa [[samurai]]. Alijifunza mwenyewe kazi ya vita kama samurai akaiacha badaye kuwa mwandishi na mashiri akadumisha maisha yake kama mwalimu. Alizunguka kote nchini Japani. Alijenga nyumba yake mjini Fukagawa kando la mjini wa kifalme wa Edo (leo: eneo la Tokyo) alipopanda mgomba bustani mwake akaipenda na kujiita "Basho" kwa sababu mgom ba kwa Kijapani ni "basho".
Aliaga dunia akiwa safarini akafa katika nyumba wsawa mwanafúnzimwanafunzi wake akiwa safarini. Kabla ya kufa alitunga haiko ya mwshomwisho:
 
:''Tabini yande / yume ha kareno wo / kake meguru''
Line 18 ⟶ 21:
[[Jamii:Waliozaliwa 1644|Basho, Matsuo]]
[[Jamii:Waliofariki 1694|Basho, Matsuo]]
[[Jamii:WatuWashairi wa Japani|Basho, Matsuo]]
 
[[an:Matsuo Bashō]]