Raphael : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d The file Image:09julius.jpg has been replaced by Image:Pope_Julius_II.jpg by administrator commons:User:Túrelio: ''File renamed: non-descriptive filename''. ''Translate me!' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Sanzio 00.jpg|right|thumb|250px| Raphael alivyojichora mwenyewe]]
'''Raffaello Sanzio''' (
Pamoja na [[Leonardo da Vinci]] na [[Michelangelo]] huhesabiwa kati ya wasanii muhimu wa [[zama ya mwamko]] ya Italia. Alizaliwa mjini [[Urbino]] kwa hiyo huitwa pia '''Raffaello da Urbino''' au '''Raffaello Sanzio == Maisha ==
Raphael alizaliwa kama mtoto wa mchoraji [[Giovanni Santi]] aliyefanya kazi katika utumishi wa mkabaila [[
Raphael alijifunza haraka na tangu [[1500]], alipokuwa na umri wa miaka 17, alipewa kazi za kwanza za kujitegemea.
Alianza kuchora picha katika ma[[kanisa]] ya miji mbalimbali ya Italia.
▲Kwa umri wa miaka 15 alikuwa mwanafunzi katika karakana ya mchoraji Pietro Perugino aliyeshiriki katika kazi za kupamba [[kanisa la Sistina]] kwenye [[Vatikano]]. Raphael alijifunza haraka na tangu 1500 alipokuwa na umri wa miaka 17 alipewa kazi za kwanza za kujitegemea.
Tangu
Raphael aliaga dunia mapema
== Picha za Raphael ==
<gallery>
Image:01castig.jpg|
Image:Young Man Apple.jpg|Picha ya [[Guidobaldo wa Montefeltro]], [[
Image:Pope_Julius_II.jpg|Picha ya
Image:Inghirami Raphael.jpg|[[Kardinali]] [[Tommaso Inghirami]] ([[1515]]-[[1516]])
Image:Raffael 021.jpg|Mt. [[Sebastiano]]
Image:Raffael 008.jpg|
Image:Raffael 005.jpg|
Image:CristoRaffaello.jpg|[[Kristo]] ([[1507]])
Image:Raffaello Ritratto di Agnolo Doni.jpg|Picha ya [[Agnolo Doni]], ([[1506]]), [[Firenze]]
Image:Raffael 036.jpg|Picha ya [[Maddalena Doni]], ([[1506]])
Image:Raffael 043.jpg|Picha ya mwanamke aliyeitwa "La Muta", [[Galleria Nazionale delle Marche]] mjini [[Urbino]]
Image:Fornarina.jpg|La Fornarina ([[1518]]-[[1520]])
Image:Raffael 004.jpg|[[Msalaba]] ([[1507]])
Image:Raffael 010.jpg|Warembo watatu <br />([[1504]]-[[1505]])
Image:Raphael - Saint George Fighting the Dragon.jpg|Mt.
Image:Plato-raphael.jpg|[[Plato]], ([[1509]])
Image:Raphael-Young man-1.jpg|Picha ya [[Francesco Maria della Rovere]]] ([[1514]]), (Czartoryski Museum), [[Kraków]] ([[Polandi]])
</gallery>
Line 39 ⟶ 47:
* {{en}} [http://www.artcyclopedia.com/artists/raphael.html Raphael kwenye Artcyclopedia]
[[Jamii:Wasanii wa Italia|Raphael]]▼
[[Jamii:Waliozaliwa 1483|Raphael]]
[[Jamii:Waliofariki 1520|Raphael]]
[[af:Raphael]]
|