Askofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Neno letu "askofu" limetokana na Kiarabu "uskufu" ambalo ni umbo la Kiarabu la neno la Kigiriki "episkopos". Neno hili lilijulikana katika mazingira ya Wakristo wa kwanza likimtaja mwangalizi au msimamizi wa shughuli mbalimbali serikalini, katika shirika za wananchi au penye ujenzi.
 
Maandiko ya kwanza ya [[Agano Jipya]] yanayotumia neno hili ni nyaraka za [[Mtakatifu Paulo|Paulo]]. Anataja kazi hii katika [[Fil.]] 1,1. Lakini hakuna "episkopos" katika [[1Kor.]] 12,28 inayoorodhesha vyeo na kazi mbalimbali. Hii imechukuliwa na wataalamu wengi kama alama ya kwamba wakati wa Paulo "episkopos" bado hakuwepo katika shirika zote kama cheo cha kawaida.
 
[[1Tim.]] 3,1-7 na [[Tit.]] 1,7 zinataja "episkopos" lakini wengi huamini ya kwamba nyaraka hizi zimeandikwa baada ya Paulo. Katika [[Mdo.]] 20,28 wazee au viongozi wa ushirika wa Efeso waitwa "episkopoi" kwa jumla.
 
Haya yote yanachukuliwa wa wataalamu wengi ya kuwa wakti wa shirika za kwanza zinavyoonekana katika Agano Jipya cheo cha "askofu" hakikuwepo bado kama cheo maalum. Lakini katika shirika kadhaa alipatikana tayari kiongozi aliyekuwa na cheo cha juu wa wazee. Shirika nyengine ziliongozwa na baraza la wazee.
 
===Episkopos kama cheo===
Mstari 17:
Katika upanuzi wa Ukristo madaraka ya askofu yalipanua. Kadiri jinsi makanisa yalijengwa hata nje ya miji mashambani askofu aliendelea kuwa kiongozi wa eneo si mji tu.
 
Wakati ule ngazi ya vyeo ilionekana: Kanisa la mji au eneo laongozwa na episkopos (askofu) anayeshauriana na "presbiteri" (kiasili: wazee; baadaye: ma[[kasisi]]) na kusaidiwa na kundi la mashemasi au [[dikoni|madikoni]].
==Makanisa ya Kiorthdoksi na Kanisa katoliki==
 
==Makanisa ya KiorthdoksiKiorthodoksi na Kanisa katoliki==
Waorthodoksi na Wakatoliki yote ni matawi ya kanisa asilia katika Dola la Roma. Wote watumia cheo cha Askofu kama mkuu wa kansa katika dayosisi. Askofu ni baba wa makasisi (mapadre) na waumini katika eneo lake.
 
Maaskofu hukutana kwenye [[sinodi]] na kufanya maazimio kuhusu mambo ya kanisa yote. Maaskofu wa nchi au eneo kubwa wako pamoja chini ya usimamizi wa [[Patriarka]] au [[Askofu Mkuu]].
 
Katika Kanisa Katoliki [[askofu wa Roma]] ni cheo cha pekee kwa sababu yeye ni mkuu wa Kanisa lote akitajwa kwa cheo cha [[Papa]].
 
==Mafundisho ya ufuatano wa kimitume==
Katika mapokeo haya askofu hutazamiwa kama mfuasi wa mitume wa Yesu. Katika mafundisho haya Yesu mwenye aliwabariki mitume wake kuwa viongozi wa kanisa lote na kwuapa madaraka. Madaraka haya yamepitiwa kutoka mitume kwa wafuasi wao waliokuwa maaskofu wa kwanza baada yao.
 
Kwa namna hii kuna ufuatano wa kuwekeana mikono na kuwabaraiki wanaopokea nafasi ya uaskofu kuanzia Yesu na kupitia mitume ya kwanza na kila kizazi cha maaskofu hadi leo. Hivyo maaskofu katikia mafundisho ya kikatoliki na kiorthodoksi ni kiungo kati ya Yesu na waumini wa leo.
 
==Askofu kati ya Waprotestant==