Askofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Akofu Luwum.jpg|thumb|300px|right|Askofu Luwum wa Kaisa la Kianglikana yla Uganda aliyeuawa na Idi Amin]]
 
'''Askofu''' ([[Kiarabu]]: <big> أسقف </big> ''usqufu''; kutoka [[Kigiriki]] επισκοπος - ''episkopos'' = msimamizi, mwangalizi) ni cheo cha juu katika kanisa la kikristo. Kwa kawaida huongoza kanisa katika eneo la [[dayosisi]] akisimamia [[ushirika|shirika]] au [[parokia]] nyingi.