Tofauti kati ya marekesbisho "Urithi wa Dunia"

46 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
'''Urithi wa Dunia''' ni maeneo yenye thamani kubwa ya kiutamaduniki[[utamaduni]] au kimazingiraki[[mazingira]] duniani yanayoangaliwa na shirika la [[UNESCO]].
 
MwanzoHadi mwisho wa mwaka [[2009]] sehemu 878890 katika nchi 145148 zimekubaliwa. Nchi inayoongoza kwa wingi wa mahali ni [[Italia]] yenye 4345.
 
Orodha rasmi ya UNESCO ina mahali 679689 pa urithi wa dunia wa kiutamaduni na mahali 174176 pa urithi wa dunia wa kimazingira, mbali ya 25 pa mseto.
 
Mwanzo wa jitihada za kuhifadhi urithi wa dunia ulikuwa ujenzi wa [[bwawa]] la [[Assuan]] lililoelekea kuzamisha majengo mbalimbali ya utamaduni wa [[Misri]] na [[Nubia]] wa kale chini ya [[maji]]. Wakati ule UNESCO ilifaulu kukusanya [[pesa]] ili [[hekalu]] la [[Abu Simbel]] liweze kuhamishwa mlimani kabla ya kujaa kwa bwawa.
 
Tangu [[1972]] kuna [[mkataba wa kimataifa]] wa [[Stockholm]] kuhusu hifadhi ya urithi wa dunia kiutamaduni na kimazingira. Kila mahali panapopendekezwa ili pakubaliwe panahitaji angalau sifa moja kati ya sita zifuatazo:
 
Kila mahali panapopendekezwa ili pakubaliwe panahitaji angalau sifa moja kati ya sita zifuatazo:
* kuwa na thamani ya pekee ya kisanii
* kuwa na athira muhimu katika [[eneo]] fulani au kipindi cha [[historia]]
* kuwa kitu cha pekee kisichopatikana tena au kuwa na umri mkubwa
* kuwa mfano bora wa kipindi fulani cha historia ya ujenzi
* kuwa muhimu katika uhusiano na fikra muhimu au watu muhimu wa historia
 
''Kamati ya WorldUrithi Heritagewa CommitteeDunia'' hukutana kila mwaka na kuangalia maombi ya kupokelewa katika orodha ya urithi wa dunia. Kamati inapokea taarifa kuhusu hifadhi na hali ya urithi uliopo tayari orodhani. Kila baada ya miaka miwili orodha inatolewa upya.
 
== Viungo vya nje ==