Michoro ya Kondoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
nyongeza
Mstari 1:
[[Picha:Kondoa.jpg|thumb|Mchoro mwambani.]]
 
'''Michoro ya Kondoa''' inapatikanani katikakundi mfululizola wamichoro kwenye kuta za mapango katika ma[[pangowilaya]] zaidi ya 150[[Kondoa]], upande[[mkoa]] wa [[kilimaDodoma]] kinachokabilinchini [[mbugaTanzania]]. Mapango au nusumapango haya zaidi ya 150 yanapatikana mfululizo kwenye vilima vinavyotazama mtelemko wa [[Bonde la Ufa]] katikala [[wilaya]]Afrika ya [[KondoaMashariki]],. [[mkoa]]Mfululizo huo una urefu wa [[Dodoma]]kilometa nchini9 [[Tanzania]]na uko kama kilometa 20 kaskazini kwa Kondoa.
 
Michoro hii inaonyesha picha za watu, wanayama na uwindaji. Hii inatazamiwa kama ushuhuda wa namna ya maisha ya wachoraji waliokuwa wavindaji hasa. Hakuna mapatano kama michoro hii ilikuwa sehemu ya ibada za kuomba mafanikio katika uwondaji au labda namna ya kusimulia habari za maisha haya au labda tu sanaa ya mapema bila makusudi. Aina nyingine za michoro zinaonyesha tu milia, duara au alama za kimsingi.
Mfululizo huo una urefu wa kilometa 9 na uko kama kilometa 20 kaskazini kwa Kondoa.
 
Wataalamu wengine huamini ya kwamba picha hizi zilichorwa tangu miaka 1500 iliyopita na jamii za wavidaji waliokalia eneo hili lakini wengine husema inaewezekana ni za kizee zaidi labda hata miaka 10,000. Michoro inafanana na michoro kwenye mwamba inayopatikana katika [[Afrika ya Kusini]] na pia katika milima ya [[Sahara]]. Kuna dalili ya kwamba sehemu yao ilichorwa na mababu wa [[Wasandawe]] na [[Wahadzabe]] wa leo waliohifadhi desturi za kuchora mwambani hadi miaka ya nyuma na ambao pia walikuwa wavindaji hadi juzi.
Michoro hiyo inaonyesha mabadiliko ya [[utamaduni]] wa wenyeji, kutoka uchumi wa [[uwindaji]] kwenda ule wa [[ufugaji]] na [[kilimo]], pamoja na mabadiliko upande wa [[dini]].
 
Mwaka [[2006]] eneo hilo liliingizwa katika orodha ya [[Urithi wa dunia]].
 
Mahali pazuri pa kuangalia michoro kadhaa kwa urahisi ni kijiji cha [[Kolo]] kilichopo kwenye barabara kuu kati ya [[Babati (mji)|Babati]] na [[Kondoa (mji)|Kondoa]]. Kutoka si mbali hadi sehemu kadhaa penye michoro. Wageni wakatakiwa kujiandikisha kwenye kituo cha hifadhi ya mambo ya kale katika kijiji.
 
==Viungo vya nje==
 
*[http://whc.unesco.org/en/list/1183 Taarifa kutoka UNESCO]
*[http://gombeexpeditions.co.tz/index.php?option=com_content&task=view&id=31&Itemid= Maelezo ya undani kwenye tovuti ya Gombe Expeditions]
 
[[Jamii:Mahali pa Urithi wa Dunia katika Tanzania]]