Tofauti kati ya marekesbisho "Korongo (Gruidae)"
Nyongeza picha
d (r2.7.1) (roboti Nyongeza: cs:Jeřábovití) |
(Nyongeza picha) |
||
''[[Grus]]'' <small>[[Mathurin Jacques Brisson|Brisson]], 1760</small><br />
}}
'''Makorongo''' hawa (pia '''mana''') ni [[ndege]] wa [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Gruidae]] wenye domo fupi na jembamba kuliko lile la [[korongo (Ciconiidae)|makorongo]] wa familia ya [[Ciconiidae]]. [[Spishi]] nyingi hufanya mikogo ya kubembeleza jike wakitoa sauti kubwa. Huugana kwa maishi yao yote. Spishi za nchi za halijoto wastani huhama kila mwaka kabla ya wakati wa baridi. Makorongo hawa hupenda kuwa pamoja na huhama kwa makundi makubwa. Hula kila kitu kinachopatikana, kama [[panya]], [[mtambaazi|watambaazi]], [[amfibia]] au [[samaki]], hata [[nafaka]] na [[tunda|matunda]] madogo. Spishi za makorongo zinatokea mabara yote ghairi ya [[Amerika ya Kusini]].
== Spishi za Afrika ==
== Picha ==
<gallery>
Image:WattledCrane.jpg|Korongo ndevu▼
Image:Zuraw stepowy Anthropoides virgo RB1.jpg|Korongo tumbo-jeusi
Image:Kroonkraan.jpg|Korongo-taji kijivu
File:Grus grus 1 (Marek Szczepanek).jpg|Korongo paji-jeusi
</gallery>
<gallery>
|