Revocatus : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d clean up using AWB |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Revocatus''' (
Anaheshimiwa kati ya [[watakatifu]] [[wafiadini]].
Revocatus akumbukwa pamoja na watakatifu [[Perpetua Mtakatifu|Perpetua]] na [[Felista Mtakatifu|Felista]] wanaojulikana zaidi kama mashahidi wakristo wa Afrika ya Kaskazini. ▼
▲Revocatus
Revocatus alikuwa kati ya watumishi wa familia ya Perpetua sawa na mwenzake Felista. Pamoja na vijana Perpetua, Felista na Saturninus alikuwa mmoja wa wanafunzi wa imani ya kikristo mjini Karthago waliojiandaa kubatizwa. Kundi lote likakamatwa pamoja na kutipwa jela. Jinsi ilivyokuwa kawaida walipewa nafasi ya kuachana na Ukristo lakini wote walisimama imara wakabatiwza gerezani.▼
▲Revocatus alikuwa kati ya
Walihukumiwa kifo katika uwanja wa michezo mbele ya watu wote. Hukumu ilitekelezwa kwa wanyama witu wa pori.▼
▲Walihukumiwa [[adhabu ya kifo]] katika [[uwanja wa michezo]] mbele ya watu
Revocatus akumbukwa ya kwamba alisimama mbele ya umati wa watu waliokuja kuona damu yao na kuwakumbusha ya kuwa kila mmoja atawajibika mbele ya Mungu.▼
▲Revocatus
Jina la Revocatus limekuwa jina linalotumiwa kati ya wakatoliki wa Afrika ya Mashariki.▼
▲Jina la Revocatus limekuwa jina linalotumiwa
{{Mbegu-mtu}}▼
[[Jamii:Waliofariki 203]]
[[Jamii:Watu wa Roma ya Kale]]
[[Jamii:
[[Jamii:Watakatifu wa Tunisia]]
|