Tunda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo
Mstari 1:
[[Picha:Autumn Red peaches.jpg|thumb|250px|Fyulisi kama mfano wa tunda:<br />katikati iko kokwa yenye mbegu;<br />sehemu nene la nyama ya tunda ambayo ni sehemu ya kuliwa<br />ganda la nje kabisa linafunika tunda lote kama ngozi.]]
[[Picha:Fruitschaal.JPG|thumb|Sahani ya matunda]]
'''Matunda''' ni sehemu ya [[mmea|mimea]] kama [[mti|miti]] au [[kichaka|vichaka]] vyenye mbegu ndani yake.
 
Kwa lugha ya [[biolojia]] ni [[ovari]] ya [[ua]] iliyoiva na kuwa na mbegu ndani yake.