Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 61:
 
''' ''Ubuddha na Kristo'' '''
----
 
 
Yesu alifundisha kuhusu nidhamu mbili zinazompelekea mtu kuwa muadilifu na hatimaye kustahili ukombozi kutoka nafsi inayoishi ili kuuridhi utukufu wa kiroho ambao karama yake ni uzima wa milele. Nazo ni kupenda Jirani kama unavyojipenda mwenyewe na mpende Mungu kwa moyo wako wote na kwa akili yako yote.
Line 79 ⟶ 81:
 
''' ''Uiislamu na Kristo'' '''
----
 
 
 
Mafundisho ya msingi ya Uiislamu ni unyenyekevu kwa ''Mola Mmojammoja'' aiitwaye ''' ''Allah'' ''', mwingi wa rehema na mwingi wa fadhila; na nguzo ya Uiislamu nikumuabudu. Hii inafanana kabisa na neno lenye kusema kwamba Ufalme Wa Mbingu wenye kujidhirisha kama Kristo ''Mmoja'' (UPekee ), aliyefanyika katika mwana wa Adamu (Yesu) aliyezaliwa mara ya pili kiroho wakati akubatizwa na Yohana katika mto Yordani; '''Yohana 3:3-15''', Halafu tena:
 
 
Line 112 ⟶ 116:
 
Hivyo Tofauti ya kimsingi ni kuwa; Uiislamu husisitiza Kuabudu, ili kustahili fadhila kuu ya Awaye Yote na wakati kwa mujibu wa Kristo, ni kwa neema ya ''Neno la Uzima'' lililodhihirika moyoni ndipo mtu hukombolewa na matamanio yake ya kimwili na kibinadamu.
 
 
== Kanisa siku za Mwanzo ==