Mzunguko wa Bahari Nyekundu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Periplus ya [[Bahari ya Eritrea]]''' ni kitabu cha mwongozo kwa ajili ya mabaharia kilichoandikwa mn. mw. 70 b.K.. "Periplus" ni neno la Kigiriki linalomaanisha tendo la kuzunguka baharini kwa merikebu; Bahari ya Eritrea ni jina la kale kwa ajili ya Bahri[[Bahari ya Shamu]] pamoja na [[Bahari Hindi]]. Jina limeundwa na watu wa nchi za mashariki ya Bahari ya Kati (Mediteraneo)na Misri waliotumia lugha ya Kigiriki wakati wa miaka 2000 iliyopita.
 
Kitabu hiki kimeandikwa na mwenyeji wa Aleksandria / Misri ilikuwa mji mkubwa wakati ule na kitovu cha biashara ya kimataifa kati ya Dola la Roma, Afrika ya Mashariki na Bara Hindi.
 
Kitabu cha Periplus kinaeleza mabandari kuanzia [[Misri]] hadi [[Afrika ya Mashariki]] kwa upande moja na hadi [[Bara Hindi]] kwa upande mwingine. Kinataja majina ya mabandari, bidhaa zilizopelekwa huko na bidhaa zilizopatikana kila mahali. Pia kuna habari za kando juu ya watu, watawala ni mila zao.
 
Maelezo ni mengi kuhusu pwani la [[Eritrea]] na [[Somalia]] hadi [[Pembe la Afrika]]; kuelekea kusini majina ya mabandari ni machache; mwisho wa eneo lililojulikana ni mji wa [[Rhapta]] katika nchi yaza Azania.