Eleveta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[picha:240 Sparks Elevators.jpg|thumb|200px|Eleveta nje ya jeno la maghorofa mjini [[Ottawa]], [[Kanada]]]]
'''Eleveta''' (kutoka [[Kiing.]] ''elevator''), pia: '''lifti''',''' kipandishi''', '''kambarau''' ni chombo cha kupandisha au kushusha watu na mizigo.
 
Mara nyingi eleveta hutumiwa katika majengo ya ghorofa. Zinatokea pia nje ya majengo kwa mfano katika migodi ambako zinaweza kufika mamita mamia chini ya ardhi.