Figo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d [r2.6.4] roboti Nyongeza: mrj:Вӓргӹ
d herufi kubwa ktk jamii using AWB
Mstari 2:
 
'''Figo''' ni kiungo cha mwili ambacho kazi chake ni cha kutatanisha. Mafigo yanafanya kazi muhimu mbalimbali kwa mwili wa binadamu. Ila kazi yao ya juu ni ya kusawazisha maji ndani ya mwili kwa kuchujia na kusitiri bidhaa za chembechembe (kama vile [[urea]]) na [[minerali]] katika [[damu]] na kuchujia hizo, pamoja na maji na [[mkojo]]. Kwa maana mafigo yameumbika kuhisi ukolezi wa plazma ya ions kama vile [[sodiamu]], [[potasiamu]], [[hidrojeni]], [[oksijeni]] (hewa) na msombo kama vile amino acids, creatinine, bicarbonate na [[glukosi]], mafigo yanasawazisha shinikizo la damu , hali ya ujenzi wa glukosi katika chembechembe, na erthropoiesis (yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza selidamu nyekundi). Sayansi ichunguzayo mafigo na maradhi ya figo inaitwa nefrolojia. Kiambishi awali, "nefro-" imaanishayo figo imetoka kwa lugha ya kigiriki ya zamani, "nefros (νεφρός)", kitambulishi "-a mafigo", maana yake kuchujia kumetoka kwa Kilatin ''rēnēs'' kumaanisha mafigo.
 
 
 
 
== Muundo wa figo wa kibinadamu ==
Line 12 ⟶ 9:
{{mbegu-biolojia}}
 
[[Jamii:Viungo vya Mwilimwili]]
[[Jamii:Afya]]