Poseidoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Infobox Mythological Characters| | picha = 200px | maelezo = Sanamu ya Poseidoni | rangi = #CEF2E0 | jina = Pos...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 00:51, 13 Machi 2011

Poseidoni (Kigiriki cha Kale: Ποσειδῶν, Poseidōn) ni mungu wa bahari, tetemeko na farasi katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Neptunus katika dini ya Roma ya Kale.

Poseidoni
Sanamu ya Poseidoni
Mungu wa Bahari, Tetemeko na Farasi
MakaoMlima Olimpos
AlamaTridenti, Samaki, Pomboo, Farasi, Fahali
MwenziAmfitrita
WazaziKrono na Rea
NduguHade, Demetra, Hestia, Hera na Zeu
WatotoTheseo, Tritoni, Polifemu
Ulinganifu wa KirumiNeptunus