Spaghetti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Spaghetti-cooking.jpg|200px|thumb|right|SpaghettiSpageti katika sufuria: maji ya chumvi yenye mafuta kidogo]]
[[Picha:Spaghetti-prepared.jpg|200px|thumb|right|'''SpaghettiSpageti alla Napolitana''' ni pamoja na mchuzi wa nyanya na jibini iliyosagwa juu yake]]
'''Spageti''' ([[Kiitalia]]: ''Spaghetti'') ni chakula cha [[tambi]] chenye asili ya [[Italia]] Kusini. Ni tambi ya [[ngano]] yenye umbo ni nyembamba na urefu wa sentimeta 40. Hupikwa katika maji kwa dakika chache na kuliwa kwa uma baada ya kuongeza michuzi mbalimbali. SpaghettiSpageti ni aina moja ya chakula cha [[pasta]] na neno latumiwa wakati mwingine kutaja pasta kwa jumla.
 
Kutoka Italia chakula hiki kimeenea duniani kwa sababu hupikwa haraka ina shibe nzuri na kuna njia nyingi ya kubadilisha ladha yake. Kwa njia ya utani zimekuwa ishara kwa utamaduni wa Italia jinsi inavyoonekana katika filamu za [[Spaghetti Western]].
 
== Michuzi ==
Kati ya michuzi ya kawaida ya spaghettispageti kuna hasa aina mbili:
 
* "alla Napoletana" au kufuatana na kawaida ya [[Napoli]] ni mchuzi nzito wa nyanya na viungo kama vitunguu, vitunguu saumu na majani ya kuongeza ladha. Juu yake humwagwa jibini iliyosagwa. Wengine huongeza vipande vidogo sana vya nyama iliyokaangwa pamoja na vitunguu katika supu hii.