Tofauti kati ya marekesbisho "Sikukuu"

131 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
d (r2.6.3) (roboti Nyongeza: krc:Байрам)
'''Sikukuu''' ni siku maalumu ya kukumbuka, kusheherekea au kufurahikakufurahia jambo fulani.
 
Kuna sikukuu za binafsi na sikuu za [[umma]]. Sikukuu ya umma mara nyingi huwekwa [[wakfu]] kisheria maana yake si [[siku ya kazi]] bali ya mapumzikoma[[pumziko]].
 
Kati ya sikuu za umma kuna sikukuu za kidini na sikukuu za kiserikali.
 
Kati ya sikukuu za binafsi kuna siku za kukumbuka matukio ya pekee kama tarehe ya kuzaliwa, kumbukumbu ya siku ya kufunga [[ndoa]] na mengine.
 
== Sikukuu za Kidinikidini ==
 
=== Sikukuu za [[Ukristo|kikristo]] ===
* [[Majilio]] ([[Ujio wa Yesu]])
* [[Krismasi]] (Kuzaliwa kwake [[Yesu]])
* [[Epifania]] (Bwana kuwatokea mataifa)
* [[Ijumaa Kuu]] ([[Kifo cha [[Yesu]])
* [[Pasaka]] (Kufufuka[[Ufufuko kwakewa Yesu]])
* [[Kupaa kwake Bwana]] ([[Yesu]] kuingia mbinguni)
* [[Pentekoste]] ([[Roho Mtakatifu]] kulishukia [[Kanisa]])
* [[Watakatifu wote]]
 
=== Sikukuu za [[Uislamu]] ===
Sikukuu za kiislamuKiislamu hufuata [[kalenda ya Kiislamu]]. Kwa hiyo tarehe za sikukuu hizi katika [[kalenda ya Gregori]] hubadilikabadilika.
* [[Ashurah]] tar. 1-10 muharram
* [[Idd-ul-Fitr]] mwisho wa ramadan
* [[Diwali]] pia "Deepavali" - mwezi wa Oktoba au Novemba
 
== SikuuSikukuu za [[Serikali]] ==
Hutofautiana kati ya nchi na nchi lakini mara nyingi huwa na:
 
* [[Mwaka Mpya]]
* [[1 Mei]]
* sikukuu za kisiasa kama [[uhuru]] wa nchi, sikukuu ya kuzaliwa kwa [[mfalme]] au [[rais]], kumbukumbukumbu ya [[mapinduzi]], ushindi [[vita]]ni n.k.
 
[[Jamii:Sikukuu| ]]