Papa Innocent VIII : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Papa Innocent VIII''' (143225 Julai, 1492) alikuwa papa kuanzia 29 Agosti, 1484 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '''Giovanni Battista Cyb...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:20, 25 Juni 2007

Papa Innocent VIII (143225 Julai, 1492) alikuwa papa kuanzia 29 Agosti, 1484 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Cybo (au Cibo). Alimfuata Papa Sixtus IV.