Tofauti kati ya marekesbisho "Tanganyika African National Union"

no edit summary
'''Tanganyika African National Union (TANU)''' ilikuwakilikuwa chama kilichotawala [[Tanganyika]] na [[Tanzania]] hadi maunganomuungano yakewa chama hiki na Chama cha [[Afro-Shirazi]] yacha [[Zanzibar]] kuwaulipounda [[Chama cha Mapinduzi]] (CCM) mwaka 1977.
 
TANU ilianzishwa 07.07.Julai 7,1954 kutokana na T[[anganyikaTanganyika African Association]] (TAA). TAA ilikuwa shirikana yamwelekeo wa kiutamadunikitamaduni sizaidi ya kisiasasiasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa [[Julius Kambarage [[Nyerere]].
 
TANU ilishinda kila uchaguzi chini ya utawala wa kikoloni ikawa chama cha kuongoza Tanzania kupatahadi ilipopata uhuru wake mwaka 1961. [[Katiba[[ ya Taifa ya mw.mwaka 1962 ilifanya TANU kuwa chama cha pekee nchini ikifuata mfano wa [[nchi za kijamaa]] zenye muundo wa [[siasa ya chama kimoja]].
 
Mwaka 1977 TANU ilivunjwa; kwa kuungana na Chama cha Afro-Shirazi ya Zanzibar chama kipya cha [[CCM]] ([[Chama cha Mapinduzi]]) kiliundwa.