Tofauti kati ya marekesbisho "Tanganyika African National Union"

no edit summary
TANU ilianzishwa Julai 7,1954 kutokana na [[Tanganyika African Association]] (TAA). TAA ilikuwa na mwelekeo wa kitamaduni zaidi ya siasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa [[Julius Kambarage Nyerere]].
 
TANU ilishinda kila uchaguzi chini ya utawala wa kikoloni ikawa chama cha kuongoza Tanzania hadi ilipopata uhuru wake mwaka 1961. [[Katiba[[]] ya Taifa ya mwaka 1962 ilifanya TANU kuwa chama cha pekee nchini ikifuata mfano wa [[nchi za kijamaa]] zenye muundo wa [[siasa ya chama kimoja]].