Kiongozi Kalenda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kiongozi Kalenda.jpg|thumb|300px400px|Maneno ya kiongozi Kalenda kwa tarehe 1 Januari, 2011]]
'''Kiongozi Kalenda''' ni kijitabu chenye chaguo cha maneno kutoka Biblia kwa kujisomea kila siku. Maneno haya hutazamiwa kama "maneno ya mwongozo wa kiroho" kwa ajili ya siku husika. Hutolewa na [[Kanisa la Moravian]] katika nchi nyingi duniani kwa lugha zisizopungua 50. Jina lake la Kiingereza ni "''Daily Watchwords''" na kwa Kijerumani "''Losungen''". Hutolewa upya kila mwaka.