Port Bell : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:59, 29 Desemba 2005

Port Bell ni mji mdogo karibu na Kampala/ Uganda ufukoni wa ziwa la Viktoria Nyanza. Jina la mji limetokana na Sir Hesketh Bell aliyekuwa kamishna (gavana) Mwingereza huko Uganda kuanzia mw. 1905-1909.

Port Bell ni bandari kwa ajili ya Kampala. Feri zinakwenda kutoka hapa hadi Jinja, Kisumu na Mwanza.

Kuna viwanda kadhaa kama vile Kiwanda cha Bia cha Uganda Breweries; aina ya Bell Lagerinatengenezwa hapa. Kuna pia kiwanda cha pombe kali aina ya Waragi na kiwanda cha chai.