Tofauti kati ya marekesbisho "Port Bell"

36 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
 
'''Port Bell''' ni mji mdogo karibu na [[Kampala]]/ [[Uganda]] ufukoni wa ziwa la [[Viktoria Nyanza]]. Jina la mji limetokana na Sir [[Hesketh Bell]] aliyekuwa kamishna (gavana) Mwingereza huko Uganda kuanzia mw. 1905-1909.
 
Port Bell ni bandari kwa ajili ya Kampala. Feri zinakwendazinatoka kutoka hapa hadikwenda [[Jinja]], [[Kisumu]] na [[Mwanza]].
 
Kuna viwanda kadhaa kama vile [[Kiwanda cha Bia]] cha [[Uganda Breweries]]; aina[[bia]] ya [[Bell LagerinatengenezwaLager]] inatengenezwa hapa. Kuna pia kiwanda cha pombe kali aina ya [[Waragi]] na kiwanda cha chai.