Thriller : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: fa:تریلر (آلبوم)
d roboti Badiliko: el:Thriller (άλμπουμ); cosmetic changes
Mstari 62:
 
== Historia ==
Albamu iliyopita ya Jackson ''[[Off the Wall]]'' (1979) ilipata mafanikio makubwa na kupewa nyota kadhaa katika ripoti ya mafanikio yake.<ref name="AMG OTW">{{cite web |first=Stephen |last=Erlewine |url=http://www.allmusic.com/cg/amg.dll?p=amg&sql=A7cu1z85ajyv6 |title=Off the Wall Overview |publisher=Allmusic |accessdate=June 15, 2008}}</ref><ref name="RS OTW">{{cite news|first=Stephen |last=Holden |url=http://www.rollingstone.com/reviews/album/259585/review/6067502/off_the_wall |title=Off the Wall : Michael Jackson |work=[[Rolling Stone]] |date=November 1, 1979 |accessdate=July 23, 2008}}</ref> Pia ilipata mafanikio makubwa sana kibiashara, na ikatokea kuuza nakala zaidi ya milioni 20 duniani kote.<ref name ="Off the Wall 20 million">{{cite web |url=http://www.virginmedia.com/music/classicalbums/michaeljackson-offthewall.php |title=Michael Jackson: Off the Wall - Classic albums - Music - Virgin media |publisher=[[Virgin Media]] |accessdate=December 12, 2008}}</ref></small> Miaka kati ya ''Off the Wall'' na ''Thriller'' kilikuwa kipindi cha mpito cha mwimbaji huyu, ulikuwa muda wa kuongeza uhuru na kuiangaikia familia yake. Pale Jackson alivyofikisha umri wa miaka 21 mnamo mwezi wa Agosti 1979, akamtimua baba yake kazini, [[Joseph Jackson]] kuwa kama meneja wake na kumweka Bw. John Branca.<ref>Taraborrelli, p. 190</ref>
 
Baada ya kumtimua mzee wake, Jackson akamwakikishia Branca kwamba anataka kuwa "nyota mkubwa katika biashara ya maonyesho" na "tajiri mkubwa". Michael alijisikia unyonge kuhusu kile alichokipata katika uchakalikaji wa chini wa albamu yake ya ''Off the Wall'', alieleza, "Ilikuwa sio vizuri kabisa yaani albamu haikupata hata tuzo ya Grammy ya [[:en:Grammy Award for Record of the Year|Rekodi Bora ya Mwaka]] na haitotokea tena.
Mstari 101:
Kabla ya mafanikio ya ''Thriller'', wengi walihisi kwamba Jackson ametaabika sana kupata kupigiwa nyimbo zake kwenye [[MTV]] kwa sababu alikuwa mtu mweusi.<ref name=autogenerated3>{{cite web |url=http://www.blender.com/guide/articles.aspx?ID=1777 |title=Michael Jackson, "Billy Jean: |accessdate=April 11, 2007 |work=''Blender''}}</ref> Wakati anafanya juhudi za kupata kupigwa nyimbo za Jackson, Rais wa [[Columbia Records|CBS Records]] Bw. [[Walter Yetnikoff]] akawasukuma MTV ili wampigie nyimbo zake na kutangaza, "Sikupi tena video yoyote ile na naenda kusema mbele ya hadhara na kudadadeki zenu na kuwaambia ukweli kwamba hamtaki kupiga nyimbo za washikaji weusi".
 
Nafasi yake ikatoa msukumo kwa MTV kuanza kupiga wimbo wa "[[Billie Jean]]" na baadaye "[[Beat It]]", ambayo ilileta ujamaa na baadaye kusaidia wasanii wengine weusi wa muziki kupata ule mkondo wa kufahamika.<ref name= "Jackson changes the rules of the music video">{{cite web |first=Edna |last=Gundersen |url=http://www.usatoday.com/life/television/news/2005-08-25-mtv_x.htm
|title=music videos changing places |publisher=''USA Today'' |date=August 25, 2005|accessdate=April 6, 2008}}</ref> MTV wamekana madai hayo ya ubaguzi wa rangi katika urushaji wa matangazo yao.<ref>[http://findarticles.com/p/articles/mi_m1355/is_14_110/ai_n16807343/ Why it took MTV so long to play black music videos | Jet | Find Articles at BNET<!-- Bot generated title -->]</ref> Umaarufu wa video zake, kama vile "Beat It" na "Billie Jean", umesaidia idhaa ndogo-ndogo "kwenye ramani", na MTV wakazingatia kujikita katika pop na R&B.<ref name= "Jackson changes the rules of the music video"/><ref name=ABCNews>{{cite web |url=http://abcnews.go.com/Entertainment/LegalCenter/story?id=464753&page=1|title=Why Are Michael Jackson's Fans So Devoted? |publisher=ABC News |date= February 23, 2005 |accessdate=April 6, 2007}}</ref>
[[Picha:Mjthriller.jpg‎|230px|thumb|left|Jackson katika mapinduzi ya video ya ''Thriller'']]
 
Mstari 228:
[[da:Thriller (album)]]
[[de:Thriller (Album)]]
[[el:Thriller (άλμπουμ)]]
[[en:Thriller (album)]]
[[es:Thriller (álbum)]]