Uchoraji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ainisha {{mbegu}} using AWB
Mstari 14:
Kutoka tamaduni ya juu kama [[Misri]], [[bonde la Indus]] au [[China]] tunajua mifano mingine ya uchoraji inayoonyesha hali ya juu zaidi. Katika ustaarabu wa madola ya kwanza wachoraji walikuwa tayari watu waliokuwa na nafasi ya kufuata sanaa yao bila haja ya kuwinda au kulima wenyewe kwa sababu mtu mkubwa kama mfalme au kuhani aliwapa ridhiki ya maisha.
 
Katika makaburi ya [[MisriNubia,Ufalume yawa KaleKush]] kuna picha zilizohifadhiwa ukutani. Makaburi ya Wamisri yalijengwa mara nyingi kwenye [[jangwa]] kando la bonde la [[Naili]]. Ukavu wa mazingira pamoja na giza ulitunza rangi vema. Wamisri wa Kale walichora watu bila kutofautisha mandharimbele au mandharinyuma. Wati muhimu waliochorwa wakubwa kuliko wale waliokuwa na cheo kidogo. Mwili ulionyeshwa mara nyingi kwa mbele lakini kichwa na uso kwa kando.
 
Katika [[Ugiriki ya Kale]] uchoraji na wasanii wake uliheshimiwa sana. Philostrates aliandika mnamo mwaka 300 KK ya kwamba uchoraji ulibuniwa na miungu. Kuna taarifa juu ya picha lakini ni machache tu yaliyohifadhiwa kwa sababu ya hali ya hewa na kwa sababu picha nyingi zilichorwa juu ya ubao au matofali.