Misri ya Kale : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Egypt.Giza.Sphinx.01.jpg|thumb|right|250px|[[Piramidi]] ya Giza pamoja na [[Sphinx]]]]
[[Picha:Egypt NK edit.svg|thumb|right|250px|Ufalme wa Misri ya Kale mnamo 1500 KK pamoja na maeneo iliyotawala]]
'''Misri ya Kale''' ni ustaarabu uliokuwepo AfrikaAfrica, sambamba na mto [[Naili]], kuanzia kwenye [[delta]] au mdomo wa Naili, kaskazini mwa [[Misri]] kwenda kusini hadi Jebel Barkal, penye maporomoko ya nne, wakati wa kupanuka kwake (Karne ya 15 KK).
 
Ustaarabu huu ulidumu kwa karibu [[milenia]] tatu, toka takribani mwaka 3000 KK hadi mwaka 30 KK nchi ilipovamiwa na Waroma na kuwa sehemu ya [[Dola la Roma]].